WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA
3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 07/11/2013.
[Mikoa ya Kigoma, Rukwa,
Shinyanga na Tabora]:
[Mikoa ya Kagera, Mara na
Mwanza ]:
|
|
Hali
ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya
Dar-Es-Salaam Pwani na Tanga]:
[Mkoa wa Morogoro
(Kaskazini)]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
|
|
Hali
ya mawingu na mvua katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.
|
[Mikoa ya Dodoma na
Singida]:
|
|
Hali
ya mawingu kiasi, mvua katika nyepesi katika maeneo machache na vipindi
vifupi vya jua.
|
[Mikoa ya Ruvuma,
Lindi na Mtwara]:
[Mkoa wa Morogoro
(Kusini)]:
[Mikoa ya Iringa na Mbeya]:
|
|
Hali
ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA
MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Kiwango
cha chini cha joto
|
Mawio
(Saa)
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
22°C
|
14°C
|
12:13
|
12:22
|
D'SALAAM
|
33°C
|
22°C
|
11:58
|
12:15
|
DODOMA
|
31°C
|
18°C
|
12:13
|
12:29
|
KIGOMA
|
28°C
|
20°C
|
12:38
|
12:51
|
MBEYA
|
24°C
|
14°C
|
12:18
|
12:41
|
MWANZA
|
25°C
|
17°C
|
12:28
|
12:35
|
TABORA
|
30°C
|
21°C
|
12:26
|
12:39
|
TANGA |
28°C
|
22°C
|
12:01
|
12:14
|
ZANZIBAR
|
30°C
|
23°C
|
11:58
|
12:15
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa kutoka Kusini-mashariki
kwa Pwani ya
Kaskazini na kutoka Mashariki kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.
Matazamio kwa siku ya Jumamosi:
09/11/2013: Mabadiliko kidogo
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe 07/11/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.