UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 01/01/2014

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735.  email:  met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA H... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 01/01/2014.

[Mikoa ya Iringa, Mbeya na  Rukwa]:


Hali ya Mawingu, mvua na ngurumo katika  baadhi ya maeneo na  vipindi vifupi  vya jua.
[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya  Kigoma na Tabora]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:


Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika  maeneo machache na  vipindi  vya jua.
[Mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro]:
[Mikoa ya Ruvuma na Morogoro ( Kusini)]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua katika  maeneo machache na  vipindi  vya jua.
[Mikoa ya Dar es salaam, Pwani na Tanga]:
[Mkoa wa Morogoro (Kaskazini)]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:


Hali ya Mawingu kiasi na  mvua nyepesi katika maeneo machache na  vipindi  vya jua

TAHADHARI: UPEPO MKALI UNAOZIDI KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOZIDI MITA 2 YANATARAJIWA KATIKA MAENEO YA PWANI YOTE. TAFADHALI CHUKUA TAHADHARI

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
29°C                           
15°C               
12:25
12:39
D'SALAAM
34°C           
25°C
12:06
12:36
DODOMA
31°C
20°C
12:22
12:48
KIGOMA   
29°C
19°C
12:48
01:10
MBEYA
25°C
15°C
12:26
01:02
MWANZA
25°C
18°C
12:40
12:52
TABORA
30°C
18°C
12:36
12:58
TANGA
32°C
24°C           
12:11
12:33
ZANZIBAR
33°C           
24°C           
12:06
12:36

Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 40  kwa saa kutoka Kaskazini-Mashariki kwa Pwani ya  
                                 Kaskazinna kutoka Kaskazini  kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa.

Matazamio kwa siku ya Ijumaa: 03/01/2014Mabadiliko kidogo   

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 01/01/2014.



Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.