Mabasi
maalumu yanayotumika kupandisha watalii wa ndani yakiwa katika foleni
tayari kwa safari ya kuelekea mlima Kilimanjaro katika kilele cha Shira.
Watalii wa ndani wakipatiwa maelezo juu ya mlima Kilimanjaro kablaya kuanza safari ya kuelekea Kilele cha Shira. |
Watalii wa ndani wakiwa ndani ya basi kuelekea kilele cha Shira mlima Kilimanjaro. BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI |