UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 15/05/2014

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA ... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 15/05/2014.

[Mikoa ya Kagera, Mara na Kigoma]:


Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:


Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.


[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Tanga]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Tabora, Mwanza Shinyanga, Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Morogoro, Dar es salaam na Pwani]:
[Mikoa ya Ruvuma, Rukwa, Lindi na Mtwara]:
[Mikoa ya Iringa, Njombe na Mbeya]:

Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.



VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
23°C
16°C
12:31
12:29
D'SALAAM
32°C
24°C
12:26
12:12
DODOMA
30°C
18°C
12:38
12:28
KIGOMA   
30°C
21°C
01:01
12:53
MBEYA
23°C
10°C
12:51
12:33
MWANZA
29°C
19°C
12:44
12:44
TABORA
30°C
17°C
12:49
12:41
TANGA
32°C
                22°C
12:24
12:16
ZANZIBAR
30°C
24°C
12:26
12:12

Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa kutoka kusini ;kwa pwani yote.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi makubwa kiasi . 
                                              
Matazamio kwa siku ya Jumamosi: 17/05/2014: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 15/05/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA