Walichokisema fastjet kuhusu huduma za usafiri wa anga

Kupitia mtandao wa facebook shirika la ndege la fastjet limetoa ujumbe kuelezea linavyotoa kipaumbele kwenye mambo ya usalama kwenye usafiri... thumbnail 1 summary
Kupitia mtandao wa facebook shirika la ndege la fastjet limetoa ujumbe kuelezea linavyotoa kipaumbele kwenye mambo ya usalama kwenye usafiri wao.

"Tumeweka kipaumbele cha ubora na usalama wa kimataifa katika usafiri wetu wa anga kwa Afrika.Usalama kwa wateja wetu ni kitu Muhimu ndio maana tunajivunia kusafiri mara tatu na kwa ubora zaidi state-of-art Airbus A319s hii ni bora na usalama wake ni wa kimataifa.

Ndege zetu zinakufanya uwe huru zina mashine mbili za jet ambazo hazina madhara na zinaruhusu mazingira mazuri ndani ya ndege.Kila ndege yetu inauwezo wa kubeba abiria 156 katika kila chumba kwa kila safari ya anga,pia tunaajiri marubani wa kimataifa kwa ajiri ya kuendesha vyombo vyetu"