UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 19/05/2014

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA H... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 19/05/2014.
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Morogoro]:
Hali ya mawingu kiasi na mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Mwanza, Kagera Mara na Shinyanga]:
Hali ya mawingu kiasi, ngurumo
katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Ruvuma Dodoma na Rukwa]:
[Mikoa ya Tabora Kigoma na Singida]:
[Mikoa ya Iringa, Njombe na Mbeya]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:

Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.

TAHADHARI:
UPEPO MKALI UTAKAOAMBATANA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKA MITA 2.0 UNATARAJIWA KATIKA MWAMBAO WOTE WA PWANI. TAFADHALI CHUKUA TAHADHARI.     

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
23°C
15°C
12:31
12:29
D'SALAAM
30°C
23°C
12:26
12:12
DODOMA
28°C
16°C
12:38
12:28
KIGOMA   
31°C
20°C
01:01
12:53
MBEYA
23°C
10°C
12:51
12:33
MWANZA
29°C
                              17°C
12:44
12:44
TABORA
31°C
18°C
12:49
12:41
TANGA
29°C
                            23°C
12:24
12:16
ZANZIBAR
29°C
24°C
12:26
12:12

Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 40 kwa saa; kutoka Kusini katika Pwani ya
                                    Kaskazini na kutoka Kusini-mashariki katika Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi makubwa. 
                                              
Matazamio kuanzia siku ya Jumatano tarehe 21/05/2014 Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 19/05/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.