UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 11/06/2014.

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA ... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 11/06/2014.

[Mkoa wa Kagera]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Mwanza na Mara]:
Hali ya mawingu kiasi, ngurumo  katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Tanga]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Ruvuma, Tabora, Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Shinyanga, Rukwa na Kigoma]:
[Mikoa ya Njombe, Iringa na Mbeya]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:

Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.


TAHADHARI:
UPEPO MKALI UNAOFIKIA KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI YANAYOZIDI MITA 2.0 UNATARAJIWA KATIKA UKANDA WA PWANI YOTE.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
21°C
16°C
12:36
12:30
D'SALAAM
30°C
22°C
12:31
12:13
DODOMA
28°C
16°C
12:43
12:29
KIGOMA   
30°C
17°C
01:05
12:54
MBEYA
23°C
09°C
12:58
12:32
MWANZA
29°C
19°C
12:48
12:45
TABORA
30°C
17°C
12:54
12:42
TANGA
30°C
24°C
12:29
12:17
ZANZIBAR
29°C
24°C
12:31
12:13

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 40 kwa saa; kutoka Kusini; kwa Pwani ya Kaskazini na  kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kusini.

Hali  ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi makubwa. 

Matazamio kwa siku ya Ijumaa: 13/06/2014: Mabadiliko kidogo

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 11/06/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.