UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 25/06/2014.

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA ... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 25/06/2014.

[Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Tanga]:
[Mikoa ya Mtwara na Lindi]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mkoa wa Mara]:


Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Kigoma, Geita, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Tabora, Rukwa, Dodoma  na Singida]:
[Mikoa ya Simiyu, Kagera, Katavi na Morogoro]:
[Mikoa ya Mbeya, Iringa, Njombe na Ruvuma]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na  Manyara]:
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
23°C
14°C
12:38
12:32
D'SALAAM
30°C
20°C
12:34
12:14
DODOMA
25°C
13°C
12:47
12:29
KIGOMA   
31°C
18°C
01:09
12:55
MBEYA
21°C
08°C
01:00
12:34
MWANZA
30°C
17°C
12:50
12:49
TABORA
29°C
14°C
12:57
12:43
TANGA
30°C
21°C
12:32
12:18
ZANZIBAR
29°C
24°C
12:34
12:14

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka Kusini kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kusini-Mashariki katika Pwani ya Kusini.

Hali  ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa kiasi.

Matazamio kwa siku ya Ijumaa: 27/06/2014: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 25/06/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.