WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24
ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 27/01/2015.
[Mikoa ya Mtwara ,Ruvuma,
Kigoma, Rukwa na Katavi]:
[Mikoa ya Mbeya, Iringa,
Njombe na Morogoro (Kusini)]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Tabora, Geita na
Kagera]:
[Mikoa ya Mara, Shinyanga
na Mwanza]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi na
ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Dodoma na
Singida]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha
na Manyara]:
[Mikoa ya Dar es Salaam,
Tanga na Pwani]:
[Mikoa ya Lindi na Morogoro
(Kaskazini)]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA
MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Kiwango
cha chini cha joto
|
Mawio
(Saa)
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
30°C
|
12°C
|
12:38
|
12:52
|
D'SALAAM
|
33°C
|
24°C
|
12:21
|
12:47
|
DODOMA
|
29°C
|
19°C
|
12:37
|
12:59
|
KIGOMA
|
30°C
|
21°C
|
01:02
|
01:22
|
MBEYA
|
26°C
|
14°C
|
12:41
|
01:13
|
MWANZA
|
29°C
|
19°C
|
12:53
|
01:05
|
TABORA
|
29°C
|
18°C
|
12:50
|
01:10
|
TANGA |
32°C
|
25°C
|
12:25
|
12:45
|
ZANZIBAR
|
33°C
|
24°C
|
12:21
|
12:47
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma
kutoka Kaskazini-Mashariki, kwa
kasi ya km 40 kwa saa kwa
Pwani
ya Kaskazini na kutoka Kaskazini kwa
kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa kiasi hadi Makubwa.
Matazamio kwa siku ya Alhamisi:
29/01/2015: Mabadiliko kidogo.
Utabiri
huu umetolewa leo tarehe: 27/01/2015.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.