UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 05/08/2013.

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA HE... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 05/08/2013.
[Mikoa ya Pwani,Tanga na Dar es salaam]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Morogoro]:

Hali ya mawingu  kiasi mvua nyepesi katika baadhi ya maeneo  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Mwanza na Mara]:

Hali ya mawingu kiasi , ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mkoa wa Kagera]:

Hali ya mawingu kiasi,  mvua na  ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Shinyanga, Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Rukwa,  Mbeya na Ruvuma]:
[Mikoa ya Tabora,  Iringa na Kigoma]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:



Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
19°C               
14°C               
12:41
12:38
D'SALAAM
31°C           
19°C           
12:36
12:21
DODOMA
25°C
15°C
12:48
12:37
KIGOMA   
27°C
18°C
01:11
01:02
MBEYA
20°C
10°C
01:01
12:42
MWANZA
28°C
16°C
12:54
12:53
TABORA
28°C
15°C
12:59
12:50
TANGA
25°C
21°C
12:34
12:25
ZANZIBAR
29°C           
22°C           
12:37
12:21

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini -Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwaPwani ya  Kaskazini  na kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kusini .

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo hadi Makubwa Kiasi .

Matazamio kwa siku ya Jumatano: 07/08/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 05/08/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.