Game Drive - Selous Game Reserve, Rufiji

Wahamaji wa Serengeti (Nyumbu) wapo pia Selous, ila huku hawahami kama wenzao wanavyofanya kule Serengeti NP.  Umewahi kujiuliza ni kwan... thumbnail 1 summary
Selous Game Reserve
Wahamaji wa Serengeti (Nyumbu) wapo pia Selous, ila huku hawahami kama wenzao wanavyofanya kule Serengeti NP.  Umewahi kujiuliza ni kwanini hawa wa huku huwa hawahami???


Selous Game Reserve

Selous Game Reserve

Selous Game Reserve

Selous Game Reserve
Twiga aka Mrefu aka Mrembo akivuka barabara ndani ya pori la akiba la Selous

Selous Game Reserve
Mvua zinaponyesha maeneo haya hujaa maji na kuwa sehemu ya mto Rufiji. Kipindi cha kiangazi hubaki kuwa mabwawa yenye kutoa hifadhi kwa viboko kama hao waoanoonekana kwenye picha juu.
Selous Game Reserve

Selous Game Reserve
Hivi karibuni kuna rafiki yangu aliniuliza swali kama Kudu ni jina la Kiswahili au Kiingereza. Kudu ni jina la mnyama huyu kwa Lugha ya Kiingereza, Jina lake kwa lugha ya Kiswahili ni  TANDALA. ni mnyama jamii ya swala. Wenye mapembe huwa ni madume na wale wasiokuwa nayo ni majike. kwenye picha juu kuna jike mmoja akizengewa na madume matatu.

Selous Game Reserve
 Mzee wa Kazi; huyu ni Jike. Haya majina wanayopewa wanyama porini huwa hayajalishi jinsia zao. Simba ataishwa Sharubu, haijalishi kama ni jike au Dume. Twiga ataitwa Mrembo hata kama ni Dume.
Selous Game Reserve

Selous Game Reserve


Selous Game Reserve
Shukran ya picha - mdau Thom HSK Safaris
Chanzo: Tembeatz