Rihanna yuko Afrika Kusini katika maonyesho yake ya Diamond Tour na ametumia muda wake kutembelea zoo kushuhudia wanyama mbalimbali. Taz...
17:40
Rihanna yuko Afrika Kusini katika maonyesho yake ya Diamond Tour na ametumia muda wake kutembelea zoo kushuhudia wanyama mbalimbali.
Tazama baadhi ya picha zake Rihanna akiwa ametembelea Zoo nchini humo, picha ambazo amezishare kwenye account yake ya Instagram