UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 26/11/2013

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA ... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz


UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 26/11/2013.

[Mikoa ya Dar-Es-Salaam, Pwani  na Tanga]:
[Mikoa ya Kigoma, Shinyanga na Tabora]:
[Mikoa ya  Kagera, Mara na Mwanza]:
[Mikoa ya Lindi, Morogoro na Mtwara]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:



Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Iringa, Mbeya na Rukwa]:
[Mkoa wa  Ruvuma]:

Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya  maeneo  na vipindi vifupi vya jua.

[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mkoa wa Singida]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua katika  maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mkoa wa Dodoma ]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

ANGALIZO: MVUA KUBWA  ZINATEGEMEWA KUENDELEA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA      MIKOA  YA RUKWA, KATAVI, IRINGA, NJOMBE, MBEYA NA RUVUMA

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
28°C               
14°C               
12:12
12:26
D'SALAAM
30°C           
24°C
11:55
12:21
DODOMA
32°C
20°C
12:11
12:33
KIGOMA   
25°C
21°C
12:37
12:55
MBEYA
25°C
15°C
12:16
12:46
MWANZA
26°C
18°C
12:28
12:39
TABORA
27°C
20°C
12:25
12:43
TANGA
32°C
23°C           
12:00
12:18
ZANZIBAR
31°C           
24°C           
11:55
12:21

Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kaskazini-Mashariki kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani
                                   yote
                                
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.  
                           
Matazamio kwa siku ya Alhamisi: 28/11/2013: Mabadiliko kidogo    
                                                                       
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 26/11/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.