Tazama picha za Simba 9 wakimshambulia Chui hadi kumuua

Waswahili husema siku ikifika... maana yake ni kwamba kuna siku ambayo huitarajii inaweza kukuingiza kwenye balaa usilolitegemea pia, Mnyama... thumbnail 1 summary
Waswahili husema siku ikifika... maana yake ni kwamba kuna siku ambayo huitarajii inaweza kukuingiza kwenye balaa usilolitegemea pia, Mnyama Chui amekutana na mkasa huo kwenye hifadhi ya Queen Elizabeth huko Uganda baada ya kuvamiwa na kundi la simba 9 na kumshambulia hadi kufa. Hiyo inaitwa life and death. kibongobongo tunasema Simba na Yanga

Jionee picha hapoo