UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 24/12/2013

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz


UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 24/12/2013.
[Mikoa ya Iringa, Mbeya na  Rukwa]:
[Mikoa ya Dodoma na  Singida]:
[Mkoa wa Morogoro ( Kusini)]:
[Mikoa ya  Kigoma na Tabora]:
[Mkoa wa Ruvuma]:


Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika  baadhi ya maeneo na  vipindi vifupi  vya jua.
[Mkoa wa Morogoro (Kaskazini na Tanga]:
[Mikoa ya Dar es salaam na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi,  mvua nyepesi katika  maeneo machache na vipindi  vya jua
[Mikoa ya Lindi, Mtwara]:

Hali ya mawingu kiasi,  mvua na ngurumo katika  maeneo machache na vipindi  vya jua
[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro]:


Hali ya mawingu kiasi na vipindi  vya jua

TAHADHARI: UPEPO MKALI UNAOZIDI KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOZIDI MITA 2 YANATARAJIWA KATIKA MAENEO YOTE YA PWANI. TAFADHALI CHUKUA TAHADHARI

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
27°C                          
14°C                
12:25
12:39
D'SALAAM
33°C           
27°C
12:06
12:36
DODOMA
30°C
18°C
12:22
12:48
KIGOMA   
28°C
20°C
12:48
01:10
MBEYA
25°C
15°C
12:26
01:02
MWANZA
29°C
18°C
12:40
12:52
TABORA
30°C
19°C
12:36
12:58
TANGA
33°C
26°C           
12:11
12:33
ZANZIBAR
32°C           
26°C           
12:06
12:36


Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 40;  kutoka Kaskazini-Mashariki kwa saa kwa Pwani ya  
                             Kaskazini na kutoka Kaskazini  kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa

Matazamio kwa siku ya Alhamis: 26/12/2013: Mabadiliko kidogo    

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 24/12/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.