UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 01/04/2014

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI Y... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 01/04/2014.


[Mikoa ya Ruvuma ,Mbeya, Iringa na  Rukwa]:
[Morogoro kusini (Mahenge)]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:

Hali ya Mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.

[Mikoa ya Mara, Mwanza, Kagera, Shinyanga]:
[Mkoa wa Kigoma]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Dar es salaam, Pwani na Tanga]:
[Mikoa ya Tabora, Singida na Dodoma]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya Mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache  na vipindi vya jua.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
28°C
16°C
12:36
12:38
D'SALAAM
30°C
22°C
12:27
12:25
DODOMA
28°C
18°C
12:40
12:39
KIGOMA   
29°C
21°C
01:04
01:05
MBEYA
25°C
14°C
12:51
12:48
MWANZA
30°C
20°C
12:50
12:53
TABORA
30°C
17°C
12:52
12:53
TANGA
31°C
24°C
12:27
12:28
ZANZIBAR
29°C
24°C
12:27
12:25

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani ya
                             Kaskazini na kwa kasi ya km 10 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.      
                                                        
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa  na Mawimbi madogo.

Matazamio kwa siku ya Alhamis: 3/04/2014: Mabadiliko kidogo.
 
 Utabiri huu umetolewa leo tarehe 01/04/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.