Video: Mamba ashambuliwa na Simba watatu Kenya, wamchangia lakini awatoa nishai

Tazama video ya mapigano kati ya simba watatu na mamba mmoja ambapo pamoja na kuchangiwa na simba hao watatu,mamba aliweza kukabiliana nao... thumbnail 1 summary
Tazama video ya mapigano kati ya simba watatu na mamba mmoja ambapo pamoja na kuchangiwa na simba hao watatu,mamba aliweza kukabiliana nao na baadae kukimbilia majini.