UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 18/12/2014.

WIZARA YA UCHUKUZI                              MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@mete... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 18/12/2014.

 [Mikoa ya  Rukwa,Katavi,Mbeya, Iringa na Njombe]:
[Mikoa ya  Tabora na Kigoma]:

Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.

[Mikoa ya Shinyanga, Mwanza, Mara Geita na Kagera]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Dodoma na Singida]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
 [Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Tanga na Morogoro]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Ruvuma,Lindi na Mtwara]:


Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
                                                                                 
   VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
29°C
15°C
12:21
12:35
D'SALAAM
34°C
25°C
12:02
12:32
DODOMA
31°C
18°C
12:18
12:44
KIGOMA    
28°C
18°C
12:44
01:06
MBEYA
27°C
14°C
12:22
12:58
MWANZA
26°C
19°C
12:36
12:48
TABORA
28°C
18°C
12:32
12:54
TANGA
32°C
23°C
12:07
12:29
ZANZIBAR
33°C
24°C
12:02
12:32

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa  kasi ya km 30 kwa saa; kutoka Kaskazini-Mashariki kwa
                              Pwani  ya  Kaskazini na kutoka Kaskazini kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa kiasi.

Matazamio kwa siku ya Jumamosi: 20/12/2014: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 18/12/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA