KILELE CHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI CHA FANA KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM

 Mgeni rasmi akiwa amewasili katika viwanja vya mnazimmoja kwaajili ya kuadhimisha siku ya mazingira kimkoa jijini dar es salaam Me... thumbnail 1 summary

 Mgeni rasmi akiwa amewasili katika viwanja vya mnazimmoja kwaajili ya kuadhimisha siku ya mazingira kimkoa jijini dar es salaam
Meza kuu wakiwa wamesimama kwaajili ya kupokea maadamano hapo jana tarehe 05/06/2014 katika siku ya mazingira
Mgeni Rasmi Mkuu wa wilaya ya Temeke mh.Sophia Mjema Sambamba na mstahiki meya wa Ilala Mh.Jerry Silaa
 Miongoni mwa vikundi mbalimbali vikiwa vimebeba mabango yenye ujumbe mzuri wa maadhimisho ya siku ya mazingira katika mkoa wa dar es salaam ndani ya viwanja vya mnazi mmoja
 Mh.meya wa Temeke Maabad Hoja akimkaribisha mgeni rasmi ili kuweza kutoa hotuba
Mkuu wa wilaya ya Temeke Mh.Sophia Mjema akitoa hutuba ya mazingira wakati wa maadhimisho katika viwanja vya mnazi mmoja
 Wanafunzi kutoka shule mbalimbali wakiwa wamehudhuria maadhimisho hayo ya mazigira
 Wananchi mbalimbali na mashirika mbalimbali waliweza kuhudhuria maadhimisho hayo katika viwanja vya mnazi mmoja
 Dada Yusta Kibona ambaye ndiye aliye soma risala kutoka Forum CC mbele ya  mgeni rasmi

Mh.Mgeni rasmi akiwa anakabidhi vyeti na vikombe kwa walio weza kutunza mazingira  vyeti mbalimbali viliweza kutolewa hivyo ni baadhi tu ya washindi walio kuwa wameweza kushinda
 wazee wa ngwasuma wakitoa burudani ndani ya uwanja wa mnazi mmoja