UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 08/06/2014.

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA ... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 08/06/2014.

[Mkoa wa Mara

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Dar es Salaam, Iringa, Mbeya na Pwani]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, na Manyara]:
[Mikoa ya Tanga,  Njombe, Lindi na Mtwara]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Kagera na Mwanza]:
Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Ruvuma, Rukwa, Tabora, Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Shinyanga, Morogoro na Kigoma]:

Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.


ANGALIZO:
UPEPO MKALI UNAOFIKIA KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI YANAYOZIDI MITA 2.UNATARAJIWA KATIKA UKANDA WA PWANI YOTE.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
22°C
14°C
12:35
12:28
D'SALAAM
31°C
21°C
12:30
12:11
DODOMA
27°C
18°C
12:42
12:27
KIGOMA   
32°C
19°C
01:04
12:53
MBEYA
21°C
12°C
12:56
12:31
MWANZA
28°C
19°C
12:47
12:43
TABORA
29°C
18°C
12:52
12:41
TANGA
30°C
23°C
12:27
12:16
ZANZIBAR
30°C
24°C
12:30
12:11

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma  kutoka Kusini; kasi ya km 40 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini na  kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kusini

Hali  ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi makubwa. 

Matazamio kwa siku ya Jumanne: 10/06/2014: Mabadiliko kidogo

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 08/06/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.