Waziri Mkuu Pinda atunuku vyeti, Diploma kwa wahitimu wa chuo cha nyuki Tabora

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama mizinga ya kisasa katika maonyesho ya Chuo cha Nyuki cha Tabora akiwa mgeni katika mahafali yaChuo hi... thumbnail 1 summary
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama mizinga ya kisasa katika maonyesho ya Chuo cha Nyuki cha Tabora akiwa mgeni katika mahafali yaChuo hicho  mjiniTabora Agosti 30, 2013. Wapili kushoto ni mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Chuo hicho, Liana Hassan

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama baadhi ya vifaa vya kusindika asali katika maonyesho ya Chuo cha Nyuki cha Tabora  ambako alikuwa mgeni rasmi katika mahafali ya Chuo hicho Agosti 30,2013. Kushoto ni Waziri  wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwezeshaji na Ukwekezaji, Dr. Mary Nagu na Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatuma Mwasa na kushoto kwa Waziri Mkuu ni Mwenyekiti wa Bodi ya Baraza  la Chuo hicho, Liana Hassan.


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua  bwalo la chakula la Chuo cha Nyuki cha Tabora akiwa mgeni rasmi katika  Mahafali ya Chuo hicho Agosti 2013.  Wapili kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii,Balozi  Hamisi Kagasheki  na kulia ni Mwenyekiti wa Baraza la Chuo hicho, Liana hassan na Watatu Kulia ni Mbunge wa Tabora Mjini, Aden Rage

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Waziri wa Maiasili na Utalii, Hamisi Kagasheki (wapili kulia), Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr. Mary Nagu (kulia), Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatuma Mwasa (watatu kushoto ), Mbunge wa Tabora  Mjini Aden Rage (kushoto) na Mwenyekiti wa  Baraza  la Chuo cha Nyuki Tabora, Liana Hassan (watatu kulia)  wakiimba wimbo wa Taifa katika mahafali ya  Chuo cha Nyuki cha Tabora ambapo Mgeni rasmi alikuwa ni Waziri Mkuu Agosti  30, 2013

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwaaga wahitimu wa Chuo cha Nyuki cha Tabora  baada ya kuwatunuku vyati, Diploma  katika  mahafali ya Cuo hicho Agosti 30, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Chanzo: Lukwangale