News Alert: Ndege zagongana uwanja wa ndege Zanzibar

Ndege ya Oman air na Ethipian airlines leo jioni zimegongana katika kiwanja cha ndege cha Zanzibar wakati zikijitaarisha kuruka, ila aj... thumbnail 1 summary
Ndege ya Oman air na Ethipian airlines leo jioni zimegongana katika kiwanja cha ndege cha Zanzibar wakati zikijitaarisha kuruka, ila ajali hii haikuwa kubwa, wakati hayo yakiendelea abiria wa Ehiopian airline wameshushwa na kuweka sehemu ya mapumziko.
Nawatakia kila la kheri wasafiri wote na inshaalah Mwenyezi 
Mungu atawapa wepesi wa katika safari zao.
Ndege ya kulia ni ya Ethiopian airlines ambayo ndiyo imeivaa Oman air hadi bawa kutoka.
Chanzo: Jestina