Picha: Chatu akamata na kummeza nyumbu mzima mzima!

Huwezi amini lakini inakubidi tu uamini, chatu mmoja amekamatwa kwenye kamera akimkamata na kummeza nyumbu mzima jambo ambalo ni gumu kutok... thumbnail 1 summary
Huwezi amini lakini inakubidi tu uamini, chatu mmoja amekamatwa kwenye kamera akimkamata na kummeza nyumbu mzima jambo ambalo ni gumu kutokea.

Chatu huyo ambaye umbo lake ni la kawaida tu hakuna aliyetegemea angeweza kumeza kitu kikubwa namna hiyo jambo ambalo limewashitua watumishi wa hifadhi huko nchini Afrika Kusini

Tukio hili limetokea kwenye Welgevonden Game Reserve, Afrika Kusini na meneja Rudi Hulshof. na hapa ni mfululizo wa picha za tukio zima


Dailmaily