Mto Ruvuma ni mto mrefu wa Tanzania. Chanzo chake iko mashariki ya Songea katika milima ya Matagoro upande wa mashariki mwa Ziwa Nyasa. Inaelekea magharibi kati ya vilima kwenye kimo cha 1000 m karibu na Songea inageukia kusini. Mdomo uko Bahari ya Hindi kati ya Mtwara (Tanzania) na Rasi ya Delgado (Msumbiji).
Kwa utangulizi huo sasa niruhusu nikuonyeshe picha za mto huo unavyoonekana kutoka angani
Asante sana PAM kwa picha hizi