Picha: Rais Uhuru Kenyatta ahudhuria uzinduzi wa hoteli ya kitalii ‘Mahari Mzuri’ ya Bilionea wa UK, Richard Branson ndani ya Maasai Mara

Bilionea wa nchini Uingereza, Sir Richard Branson hivi karibuni alikuwa mwenyeji wa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta kwenye kiota chake kilich... thumbnail 1 summary

Bilionea wa nchini Uingereza, Sir Richard Branson hivi karibuni alikuwa mwenyeji wa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta kwenye kiota chake kilichopo ndani ya mbuga ya Maasai Mara.

Mahali-Mzuri-Opening
Kiota hicho kiitwacho ‘Mahari Mzuri Safari Camp’ kilifunguliwa rasmi weekend iliyopita na kupewa baraka na wazee wa kabila la Wamasai.
mahali-mzuri-2-690x459
Ingawa hoteli hiyo ilikuwa imeanza kazi tangu mwaka 2003, Branson aliizindua rasmi kwa kuwaalika wazee wa kabila hilo kubariki huku tayari Branson akiwa anatumbulika kama mzee wa kabila hilo tangu miaka minane iliyopita.

Mahalimzuri
Gharama za kulala kwa usiku mmoja zinaanzia $590 kwa mtu mmoja

mahali-mzuri-1
Mahali Mzuri inajumuisha mahema 12 ya kulala yaliyopewa jina la makundi 12 ya kabila Maasai kwenye eneo hilo.
mahali-mzuri-3-690x459
mahali-mzuri-4-690x258
mahali-mzuri-5-690x258

Chanzo: Bongo5