UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 02/10/2013

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA HE... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 02/10/2013.

[Mikoa ya Kagera, Mara na Mwanza ]:
[Mikoa ya Kigoma na Rukwa]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Ruvuma na Morogoro]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:
[Mikoa ya Iringa na Mbeya]:
Hali ya mawingu, mvua katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.
[Mikoa ya Dar-Es-Salaam na Pwani]:
Hali ya mawingu kiasi na mvua katika maeneo machache  na vipindi vya jua.

[Mkoa wa Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[[Mikoa ya Tabora  na  Shinyanga ]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida]: 
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
29°C               
17°C               
12:20
12:27
D'SALAAM
32°C           
23°C           
12:08
12:17
DODOMA
31°C
18°C
12:22
12:31
KIGOMA    
28°C
21°C
12:46
12:55
MBEYA
24°C
14°C
12:31
12:40
MWANZA
25°C
18°C
12:35
12:41
TABORA
31°C
20°C
12:34
12:43
TANGA
29°C
23°C
12:09
12:18
ZANZIBAR
33°C           
24°C           
12:08
12:17

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani
                               Yote.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi.  
                           
Matazamio kwa siku ya Ijumaa: 04/10/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 02/10/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.