UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 16/11/2013

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz


UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 16/11/2013.

[Mikoa ya Kagera, Shinyanga, Mara na Mwanza ]:
[Mikoa ya Rukwa na Kigoma ]:



Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.


[Mikoa ya Tanga,Dar-Es-Salaam na Pwani]:
[Mikoa ya Morogoro,Lindi na Mtwara]:
[ Visiwa vya Unguja na Pemba]:



Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Tabora, na Singida]:
[Mikoa ya Iringa, na Mbeya]:
[Mikoa ya Dodoma na Ruvuma]:




Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
29°C
15°C
12:13
12:24
D'SALAAM
30°C
22°C
11:57
12:18
DODOMA
32°C
19°C
12:12
12:31
KIGOMA
27°C
19°C
12:37
12:54
MBEYA
30°C
16°C
12:17
12:44
MWANZA
27°C
18°C
12:28
12:37
TABORA
34°C
21°C
12:25
12:42
TANGA
32°C
22°C
12:00
12:17
ZANZIBAR
31°C
23°C
11:57
12:18

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Mashariki, kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani
ya Kaskazini na kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kusini .
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo hadi Makubwa kiasi.
Matazamio kwa siku ya Jumatatu: 18/11/2013: Mabadiliko kidogo
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 16/11/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.