UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 06/11/2013

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA HE... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 06/11/2013.


[Mikoa ya Kagera, Mara na Mwanza ]:
[Mikoa ya Kigoma,  Rukwa na Shinyanga]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mkoa wa Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi na mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Dar-Es-Salaam  na Pwani]:
[Mkoa wa Morogoro (Kaskazini)]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Ruvuma na Tabora]:
[Mikoa ya Lindi  na Mtwara]:
[Mikoa ya Iringa na  Mbeya]:
[Mkoa wa Morogoro (Kusini)]:
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
27°C               
16°C               
12:13
12:22
D'SALAAM
31°C           
23°C
11:58
12:15
DODOMA
31°C
20°C
12:13
12:29
KIGOMA   
29°C
22°C
12:38
12:51
MBEYA
27°C
11°C
12:18
12:41
MWANZA
30°C
18°C
12:28
12:35
TABORA
34°C
16°C
12:26
12:39
TANGA
30°C
23°C
12:01
12:14
ZANZIBAR
30°C           
23°C           
11:58
12:15

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini
                               na kutoka Mashariki  kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa  Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo hadi Makubwa kiasi.  
                           
Matazamio kwa siku ya Ijumaa: 08/11/2013: Mabadiliko kidogo                                                                 
                                     
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 06/11/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.