UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 30/03/2014

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI Y... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 30/03/2014.


[Mikoa ya Ruvuma ,Mbeya, Iringa na  Rukwa]:
[Mikoa ya Tanga, Pwani na Dar es salaam]:
[Mikoa ya Lindi, Morogoro na Mtwara,]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Singida na Dodoma]:

Hali ya Mawingu, mvua na ngurumo katika maeneo mengi na vipindi vifupi vya jua.

[Mikoa ya Mara, Mwanza, Kagera, Shinyanga]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Tabora na Kigoma]:

Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.

TAHADHARI

VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO YA MIKOA YA RUVUMA, MOROGORO, DODOMA, SINGIDA  UKANDA WOTE WA PWANI NA NYANDA ZA JUU KUSINI MAGHARIBI ,


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
27°C
18°C
12:39
12:44
D'SALAAM
30°C
24°C
12:28
12:33
DODOMA
28°C
18°C
12:42
12:47
KIGOMA     
28°C
21°C
01:06
01:11
MBEYA
26°C
15°C
12:51
12:56
MWANZA
28°C
19°C
12:53
12:58
TABORA
28°C
19°C
12:54
12:59
TANGA
33°C
25°C
12:29
12:34
ZANZIBAR
31°C
25°C
12:28
12:33

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kaskazini- Mashariki kwa kasi ya km 10 kwa saa kwa Pwani ya
                             Kaskazini na kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi ya km 10 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.      
                                                        
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa  na Mawimbi Madogo madogo.

Matazamio kwa siku ya Jumanne: 1/04/2014: Mabadiliko kidogo.
 
 Utabiri huu umetolewa leo tarehe 30/03/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.