Just in: Ndege ya Safari Express yaanguka kwenye hifadhi ya Serengeti, yawaka moto na kuua watu wote waliokuwa ndani

Mabaki ya Ndehe hiyo Ndege hiyo iliyoruka kutokea Mwanza jana jumapili ilikuwa na abiria watatu ilikuwa itue eneo la Magadi nchini K... thumbnail 1 summary
Mabaki ya Ndehe hiyo

Ndege hiyo iliyoruka kutokea Mwanza jana jumapili ilikuwa na abiria watatu ilikuwa itue eneo la Magadi nchini Kenya kutokea Mwanza.

Ilipotea tangu jana ambapo leo imekutwa imeanguka katika eneo la mbuga ya Serengeti na watu watatu waliokuwepo kupoteza maisha  baada ya kuungua vibaya.

Tutakuletea habari zaidi kadri tunavyozipata

Chanzo: Harakati News

The Safari Express plane that had gone missing was Monday found crashed at Serengeti National Park in Tanzania, killing all the three occupants. The aircraft was headed for Magadi in Kenya from Mwanza, Tanzania when it crashed on Sunday night.
Read more at: http://www.standardmedia.co.ke/article/2000133441/missing-safari-express-plane-found-crashed-in-serengeti/