UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 20/02/2015.

WIZARA YA UCHUKUZI                              MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@me... thumbnail 1 summary


WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 20/02/2015.


[Mikoa ya Mara, Kagera Geita, Kigoma, Shinyanga na Mwanza]:
[Mikoa ya Kigoma, Mbeya, Iringa, Rukwa, Katavi na Njombe]:
[Mikoa ya Tabora, na Ruvuma]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Dodoma na Singida]:
[ Mkoa wa Morogoro(kusini)]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.


[Mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro]:
[Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Tanga]:
[Mkoa wa Morogoro(Kaskazini)]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI                   
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
28°C
15°C
12:43
12:52
D'SALAAM
34°C
24°C
12:29
12:44
DODOMA
31°C
19°C
12:44
12:57
KIGOMA          
30°C
20°C
01:09
01:20
MBEYA
26°C
14°C
12:51
01:08
MWANZA
29°C
16°C
12:57
01:05
TABORA
30°C
13°C
12:57
01:08
TANGA
32°C
24°C
12:32
12:43
ZANZIBAR
33°C
24°C
12:29
12:44

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kaskazini-Mashariki Kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kaskazini kwa kasi ya Km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Madogo hadi Makubwa kiasi.

Matazamio kwa siku ya Jumapili: 22/02/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 20/02/2015.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.