Umewahi kuona simba akifungua mlango wa gari? shuhudia simba alichokifanya kwenye gari la watalii hawa

  Unajua kuwa simba anaweza kufungua mlango wa gari? kama hujui naomba nitumie fursa hii kukujuza, watalii huko Afrika Kusini hawakuamini m... thumbnail 1 summary
 Lion opens car door
Unajua kuwa simba anaweza kufungua mlango wa gari? kama hujui naomba nitumie fursa hii kukujuza, watalii huko Afrika Kusini hawakuamini macho yao pale simba alipofungua mlango wa gari lao wakiwa mbugani. tatizo ni kwamba hawakuweka lock kwenye mlango, kwa kilichowakutka nina hakika hawatarudia tena kutoweka lock mlango wa gari, tazama uhondo mzima hapa tabianchi