Mkurugenzi wa Utafiti na matumizi ya Hali ya hewa kutoka Mamlaka ya hali ya Hewa Nchini Dkt, Ladislaus Chang'a, akifafanua jambo kwa wanafunzi wa shule maalumu ya Vipaji ya wasichana ya Msalato kuhusu kuhusu mabadiliko ya tabia Nchi.(Picha na John Banda wa Pamoja Blog)
Wanafunzi wa Shule maalumu ya vipaji ya wasichana ya Msalato mjini Dodoma wakifuatilia jambo kwa makini wakati Mkurugenzi wa Utafiti na matumizi ya hali ya hewa Nchini Dkt, Ladislaus Chang'a alipokuwa akitoa mada kuhusu uhalibifu wa mazingira ili kunusuru Mabadiliko ya tabia nchi.