Kutoka
kulia ni Mshindi wa Mama Shujaa wa Chakula 2013 Bahati Muriga , Edina
Kiogwe aliyeshiriki Shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015 na Eva
Mogeni pia alikuwa Mshiriki wa Shindano la mama Shujaa wa Chakula ambalo
linaandaliwa na OXFAM Kupitia Kampeni yake ya Grow
Aliyekuwa
Mshiriki wa Shidano la Mama Shujaa wa Chakula Msimu wa nne 2015 Eva
Mogeni (Kushoto) akielezea kuhusu safari yao ya kwenda Addis Ababa
Ethiopia kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa African Rural Woman
Assembly (ARWAA) na kutunga Sera juu ya kilimo na kupaza sauti za
wakulima wadogo hasa wanawake ili kupata Fursa sawa katika Kilimo.
Mshindi
wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2014 Linaloendeshwa na Oxfam
kupitia kampeni yake ya Grow Bahati Muriga(Kulia) yenye kauli mbiu
kuwa Wekeza kwa wakulima wadogo wanawake Inalipa, akielezea kwa undani
juu ya Safari yake ya Kwenda Marekani pia Kushukuru Oxfam kwa kupata
nafasi hiyo
Edna
Kiogwe (Kulia) aliyekuwa Mshiriki wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula
2015 akielezea jambo kuhusiana na kuhudhuria mkutano wa African Rural
Woman Assembly (ARWAA) utakaofanyika Adis Ababa nchini Ethiophia Oktoba
11hadi 15 mwaka huu.
Waliokuwa
washiriki wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula akiwemo Mshindi wa
Shindano hilo kwa Mwaka 2014 Msimu wa tatu Bahati Muriga Wamepokea
Mwaliko wa Kwenda Washington DC Marekani kuhudhuria mkutano mkuu wa Siku
ya Chakula duniani unaotarajiwa kufanyika Washington DC na Addis Ababa
kwa ajili ya Kuhudhuria Mikutano Mbalimbali. Kati ya hao Bahati Muriga
atakwenda Marekani na Edina Kiogwe pamoja na Eva Mogeniw watakwenda
kuhudhuria mkutano wa African Rural Woman Assembly (ARWAA)
Eluka
Kibona ambaye ni Meneja wa Utetezi wa Oxfam Tanzania alisema kuwa Bahati
Muliga atahudhuria mikutano mbalimbali nchini humo inayohusu masuala ya
Chakula na Kilimo wakati wa wiki zote Mbili atakazokuwa huko. Aliongeza
kuwa Oxfam imethibitisha kupokea Barua ya Mwaliko wa Muriga na
atahudhulia kikamilifu makongamano hayo ili apate kujifunza na kupata
ujuzi ambao atautumia kwa kuwashirikisha wakulima wanawake wadogo
wadogo.
“Muriga
anakwenda kuhudhuria mikutano mingi, ambayo itafanyika Washington DC na
Ohio. Hii ni fursa adimu ambayo Shirika la Oxfam kupitia Oxfam Tanzania
limeamua kutoa kwa kinamama hawa ili wajifunze zaidi kilimo cha kisasa
na namna ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi,” alisema Eluka.
Wakati
huo huo Oxfam wakishirikiana na Shirika la Kimataifa la Action Aid na
African Union Commission limetoa Mwaliko kwa washiriki wawili kati ya
walioshiriki shindano la Mama Shujaa wa Chakula Msimu wa Nne ambao ni
Edina Kiogwe na Eva Mogeni kuhudhuria mkutano wa African Rural Woman
Assembly (ARWAA) utakaofanyika Adis Ababa nchini Ethiophia unaotarajiwa
kuanza Tarehe 11 Octoba mwaka huu
Eluka
alisema Mkutano huo unawakutanisha na kuwaleta pamoja vikundi vya
wazalishaji chakula wadogo kutoka sehemu mbalimbali Afrika kwa ajili ya
kubadilishana uzoefu wao wanavyohusika na watengeneza sera na kutoa
mchango wa pamoja kukabiliana na mahitaji yao.
Akizungumzia
safari hiyo Mshindi wa Mama Shuja wa Chakula Msimu wa Tatu Bahati
Muriga alisema hiyo ni fursa mpya kwake na anajua kwa kuhudhuria mkutano
huo atapata maoni mapya kuhusiana na sera ya kilimo, uwekezaji katika
miradi, lakini kubwa zaidi ni kwake ni mbinu mbadala za kilimo cha
kisasa sambamba na kushuhudia nini wengine wanafanya katika kilimo.
“Nitapata
maoni mapya ninakwenda kwa niaba ya wakulima wadogowadogo Tanzania,
lakini kuongeza ujuzi na kupata mikakati mbalimbali kuhusu kilimo,
kujuana na kubadilishana mawazo, kupata mahusiano mapya na kujenga
mikakati,” alisema Bahati Muriga.
Nae
aliyekuwa Mshiriki wa Shindano lala Mama Shujaa wa Chakula msimu wa nne
Eva Mogeni akizungumzia Juu ya Safari hiyo alisema hii ni Fursa kwa
wakulima wadogo wadogo kupaza sauti zao kuhusiana na kilimo, pia
aliongeza Fursa hii aliyoipata kutoka Oxfam itakuwa ni Chachu kwake
kujifunza mambo mapya na yenyekuleta maendeleo zaidi.
Edina
Kiogwe ambaye alishiriki mashindano ya mwaka huu alisema anatarajia
mafunzo atakayoyapata yatamjenga na kumwongezea ujuzi zaidi, lakini pia
aliwahamasisha wakulima wanawake wadogowadogo kujituma na kujitoa katika
mashindano mbalimbali ili kupaza sauti zao na kupata fursa mbalimbali.
Kawaida
Kutoka kulia ni Mshindi wa Mama Shujaa wa Chakula 2013 Bahati Muriga ,
Edina Kiogwe aliyeshiriki Shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015 na Eva
Mogeni pia alikuwa Mshiriki wa Shindano la mama Shujaa wa Chakula
ambalo linaandaliwa na OXFAM Kupitia Kampeni yake ya Grow Aliyekuwa
Mshiriki wa Shidano la Mama Shujaa wa Chakula Msimu wa nne 2015 Eva
Mogeni (Kushoto) akielezea kuhusu safari yao ya kwenda Addis Ababa
Ethiopia kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa African Rural Woman Assembly
(ARWAA) na kutunga Sera juu ya kilimo na kupaza sauti za wakulima
wadogo hasa wanawake ili kupata Fursa sawa katika Kilimo.
Mshindi
wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2014 Linaloendeshwa na Oxfam
kupitia kampeni yake ya Grow Bahati Muriga(Kulia) yenye kauli mbiu kuwa
Wekeza kwa wakulima wadogo wanawake Inalipa, akielezea kwa undani juu ya
Safari yake ya Kwenda Marekani pia Kushukuru Oxfam kwa kupata nafasi
hiyo Edna Kiogwe (Kulia) aliyekuwa Mshiriki wa Shindano la Mama Shujaa
wa Chakula 2015 akielezea jambo kuhusiana na kuhudhuria mkutano wa
African Rural Woman Assembly (ARWAA) utakaofanyika Adis Ababa nchini
Ethiophia Oktoba 11hadi 15 mwaka huu. Waliokuwa washiriki wa Shindano la
Mama Shujaa wa Chakula akiwemo Mshindi wa Shindano hilo kwa Mwaka 2014
Msimu wa tatu Bahati Muriga Wamepokea Mwaliko wa Kwenda Washington DC
Marekani kuhudhuria mkutano mkuu wa Siku ya Chakula duniani unaotarajiwa
kufanyika Washington DC na Addis Ababa kwa ajili ya Kuhudhuria Mikutano
Mbalimbali.
Kati
ya hao Bahati Muriga atakwenda Marekani na Edina Kiogwe pamoja na Eva
Mogeniw watakwenda kuhudhuria mkutano wa African Rural Woman Assembly
(ARWAA) Eluka Kibona ambaye ni Meneja wa Utetezi wa Oxfam Tanzania
alisema kuwa Bahati Muliga atahudhuria mikutano mbalimbali nchini humo
inayohusu masuala ya Chakula na Kilimo wakati wa wiki zote Mbili
atakazokuwa huko.
Aliongeza
kuwa Oxfam imethibitisha kupokea Barua ya Mwaliko wa Muriga na
atahudhulia kikamilifu makongamano hayo ili apate kujifunza na kupata
ujuzi ambao atautumia kwa kuwashirikisha wakulima wanawake wadogo
wadogo.
“Muriga
anakwenda kuhudhuria mikutano mingi, ambayo itafanyika Washington DC na
Ohio. Hii ni fursa adimu ambayo Shirika la Oxfam kupitia Oxfam Tanzania
limeamua kutoa kwa kinamama hawa ili wajifunze zaidi kilimo cha kisasa
na namna ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi,” alisema Eluka.
Wakati
huo huo Oxfam wakishirikiana na Shirika la Kimataifa la Action Aid na
African Union Commission limetoa Mwaliko kwa washiriki wawili kati ya
walioshiriki shindano la Mama Shujaa wa Chakula Msimu wa Nne ambao ni
Edina Kiogwe na Eva Mogeni kuhudhuria mkutano wa African Rural Woman
Assembly (ARWAA) utakaofanyika Adis Ababa nchini Ethiophia unaotarajiwa
kuanza Tarehe 11 Octoba mwaka huu Eluka alisema Mkutano huo
unawakutanisha na kuwaleta pamoja vikundi vya wazalishaji chakula wadogo
kutoka sehemu mbalimbali Afrika kwa ajili ya kubadilishana uzoefu wao
wanavyohusika na watengeneza sera na kutoa mchango wa pamoja kukabiliana
na mahitaji yao.
Akizungumzia
safari hiyo Mshindi wa Mama Shuja wa Chakula Msimu wa Tatu Bahati
Muriga alisema hiyo ni fursa mpya kwake na anajua kwa kuhudhuria mkutano
huo atapata maoni mapya kuhusiana na sera ya kilimo, uwekezaji katika
miradi, lakini kubwa zaidi ni kwake ni mbinu mbadala za kilimo cha
kisasa sambamba na kushuhudia nini wengine wanafanya katika kilimo.
“Nitapata
maoni mapya ninakwenda kwa niaba ya wakulima wadogowadogo Tanzania,
lakini kuongeza ujuzi na kupata mikakati mbalimbali kuhusu kilimo,
kujuana na kubadilishana mawazo, kupata mahusiano mapya na kujenga
mikakati,” alisema Bahati Muriga. Nae aliyekuwa Mshiriki wa Shindano
lala Mama Shujaa wa Chakula msimu wa nne Eva Mogeni akizungumzia Juu ya
Safari hiyo alisema hii ni Fursa kwa wakulima wadogo wadogo kupaza sauti
zao kuhusiana na kilimo, pia aliongeza Fursa hii aliyoipata kutoka
Oxfam itakuwa ni Chachu kwake kujifunza mambo mapya na yenyekuleta
maendeleo zaidi.