UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.TAREHE 08/09/2013.

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA HE... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 08/09/2013.

[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza na Shinyanga]: [Mikoa wa Kigoma]
Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Dar-Es-Salaam, Pwani na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua  nyepesi katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Rukwa, Iringa,  Mbeya na Ruvuma]:
[Mikoa ya Dodoma, Singida na Tabora]:
[Mikoa ya Morogoro, Mtwara na Lindi]:
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
23°C               
13°C               
12:33
12:35
D'SALAAM
32°C           
20°C           
12:24
12:22
DODOMA
28°C
16°C
12:38
12:36
KIGOMA    
34°C
22°C
01:02
01:00
MBEYA
24°C
08°C
12:49
12:43
MWANZA
29°C
18°C
12:47
12:49
TABORA
31°C
19°C
12:50
12:48
TANGA
29°C
21°C
12:25
12:23
ZANZIBAR
30°C           
21°C           
12:24
12:22

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30kwa saa kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya                                  Kaskazini na  kwa kasi ya km 20 kwa saa kutoka Mashariki  kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi.  
                           
Matazamio kwa siku ya Jumanne: 10/09/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 08/09/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.