UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 12/10/2013

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA HE... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 12/10/2013.


[Mikoa ya  Kagera, Mwanza  na Kigoma]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Tanga, Dar-es-Salaam na Pwani]:
[Mkoa wa Morogoro ]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi na mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mkoa wa Lindi]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mkoa wa Mara]:
Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Rukwa, Mbeya, Iringa na Ruvuma]:
[Mikoa ya Dodoma, Mtwara na Singida]:
[Mikoa ya Shinyanga na Tabora]:
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
28°C               
16°C               
12:18
12:24
D'SALAAM
30°C           
22°C           
12:05
12:15
DODOMA
31°C
18°C
12:19
12:28
KIGOMA   
30°C
20°C
12:44
12:52
MBEYA
26°C
15°C
12:28
12:39
MWANZA
26°C
17°C
12:32
12:37
TABORA
32°C
20°C
12:32
12:40
TANGA
29°C
23°C
12:07
12:15
ZANZIBAR
27°C           
23°C           
12:05
12:15

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa; kutoka Kusini-Mashariki kwa
                                    Pwani ya Kaskazini na kutoka Mashariki kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.  
                           
Matazamio kwa siku ya Jumatatu: 14/10/2013: Mabadiliko kidogo.
                                     
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 12/10/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.