UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 20/10/2013

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA HE... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 20/10/2013.


[Mikoa ya Kagera, Mwanza, Mara na Kigoma]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua

[Mkoa wa Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Singida, Shinyanga, Dodoma, na Tabora]:
[Mikoa ya Dar-es-Salaam, Pwani na Morogoro]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Lindi ,Ruvuma na Mtwara ]:
[Mikoa ya Iringa, Mbeya na Rukwa]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
29°C               
10°C               
12:13
12:23
D'SALAAM
32°C           
22°C            
11:59
12:15
DODOMA
31°C
17°C
12:14
12:29
KIGOMA   
31°C
20°C
12:39
12:52
MBEYA
28°C
14°C
12:21
12:39
MWANZA
31°C
18°C
12:28
12:36
TABORA
34°C
20°C
12:27
12:40
TANGA
30°C
19°C
12:02
12:15
ZANZIBAR
30°C           
20°C           
11:59
12:15

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa; kutoka Kusini-Mashariki kwa
                                       Pwani ya kaskazini na kutoka Mashariki kwa pwani ya kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.  
                            
Matazamio kwa siku ya Jumanne: 22/10/2013: Mabadiliko kidogo.
                                     
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 20/10/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.