UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 07/10/2013

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA ... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 07/10/2013.


[Mikoa ya Kagera, Mwanza na Kigoma]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mkoa wa Mara]:
Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Tanga , Dar-Es-Salaam na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]: [Mikoa ya Tabora, Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Morogoro, Iringa na Mbeya]:
[Mikoa ya Ruvuma, Lindi na Mtwara]:
[Mikoa ya Rukwa na Shinyanga]:
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
27°C               
13°C               
12:20
12:27
D'SALAAM
33°C           
21°C           
12:08
12:17
DODOMA
30°C
17°C
12:22
12:31
KIGOMA    
32°C
19°C
12:46
12:55
MBEYA
27°C
12°C
12:31
12:40
MWANZA
31°C
19°C
12:35
12:41
TABORA
32°C
20°C
12:34
12:43
TANGA
27°C
23°C
12:09
12:18
ZANZIBAR
31°C           
22°C           
12:08
12:17

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani
                               Yote

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi.  
                           
Matazamio kwa siku ya Jumatano: 09/10/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 07/10/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.