NEWS ALART: SHEHENA YA MENO YA TEMBO YAKAMATWA ZANZIBAR LEO MCHANA

MENO YA TEMBO YANAYOKADIRIWA KUFIKIA TANI 3 YAMEKAMATWA LEO MCHANA KISIWANI ZANZIBAR. SHEHENA HIYO ILIYOKUWA IMEFUNGWA KAMA MAZAO YA BAHAR... thumbnail 1 summary
MENO YA TEMBO YANAYOKADIRIWA KUFIKIA TANI 3 YAMEKAMATWA LEO MCHANA KISIWANI
ZANZIBAR. SHEHENA HIYO ILIYOKUWA IMEFUNGWA KAMA MAZAO YA BAHARINI ILITARAJIWA KUSAFIRISHWA NCHINI UFILIPINI.

KAZI YA KUPAKUA SHEHENA HIYO INAENDELEA NA WAFANYABIASHARA WAWILI KUTOKA ZANZIBAR WANASHIKILIWA NA POLISI KWA UCHUNGUZI ZAIDI.