Picha: Terrence J, David Banner, Chaka Zulu waanza kutembelea hifadhi za Taifa

Wadau wa muziki kutoka Marekani Terrence J, David Banner na Chaka Zulu baada ya kumaliza kutoa semina kwa wasanii wa Tanzania, wameanza ... thumbnail 1 summary
Wadau wa muziki kutoka Marekani Terrence J, David Banner na Chaka Zulu baada ya kumaliza kutoa semina kwa wasanii wa Tanzania, wameanza kutembelea hifadhi za taifa ili kujionea mambo mbalimbali kutoka kwenye hifadhi hizo. Tazama picha
Terrence J, David Banner na Chaka Zulu wakiwa kwenye gari la safari David Banner na Chaka Zulu wakiwa kwenye gari la safari x Terrence J 10520354_829361793742059_1316314398_n
1599399_1441572369443466_260755381_n