Best Hotels in Africa: Readers Choice Awards 2014-Gibb's Farm, Ngorongoro ni #6

Kama unataka kujua hoteli bora za Afrika, tuzo za hivi karibuni za Reader’s Choice Awards zilizoandaliwa na kampuni ya Condé Nast Travele... thumbnail 1 summary
Kama unataka kujua hoteli bora za Afrika, tuzo za hivi karibuni za Reader’s Choice Awards zilizoandaliwa na kampuni ya Condé Nast Traveler zinaweza kukupa jibu.
verandah-view Muonekano wa nje wa Gibb’s Farm, Ngorongoro
Cape Town, South Africa imeongoza kwa kuwa na hoteli tano kwenye orodha ya hoteli 10 zilizotajwa.
040113-32 Gibb’s Farm
Gibb’s Farm, Ngorongoro, Tanzania imekamata nafasi ya sita. Mwaka huu wasomaji 76, 659 wamejibu questionnaire zilizoandaliwa kubaini hoteli bora.
040113-56 Chumba kimoja wapo katia ya 16 vilivyopo
040113-62
Kipengele kingine kwenye tuzo hizo ni Top 20 Safari Lodges & Camps ambapo Tanzania zimeingia mbili. Singita Grumeti ya Serengeti imekamata nafasi ya tatu na Four Seasons Safari Lodge Serengeti imekamata nafasi ya 8.