NASA imethibitisha kwamba dunia itakabiliwa na takribani siku 6 za giza totoro kuanzia Jumanne ya tarehe 16 hadi
Jumatatu ya tarehe 22 Desemba.
Siku tatu kati ya hizo sita Dunia itabaki
bila ya jua kutokana na dhoruba ya
jua, ambayo itasababishwa na vumbi na uchafu kwenye mfumo wa jua na hivyo kuzuia
90% ya jua.
Mkuu wa NASA Charles Bolden ametoa tangazo hilo na kuwasihi watu kutokuwa na wasiwasi juu ya tukio hilo ambalo ni kubwa na la kihistoria kutokea tangu miaka 250 iliyopita kwa kipindi cha masaa 216 kwa jumla.

Licha
ya siku
sita za giza zinazokuja, maafisa wanasema kwamba dunia haitakumbwa na tatizo kubwa wakati wa giza hilo
Swali
langu ni kwako msomaji, Utafanya nini wakati wa siku hizi sita
za giza?