UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 25/06/2015.

WIZARA YA UCHUKUZI                              MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@mete... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 25/06/2015.


[Mikoa ya Mara na Kagera]:Hali ya Mawingu kiasi na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Mwanza, Geita, Shinyanga, Tabora na Kigoma]:
[Mikoa ya Dodoma, Singida, Ruvuma, Mtwara na Lindi]:
[Mikoa ya Tanga, Morogoro, Dar es Salaam na Pwani]:
[Mikoa ya Rukwa, Katavi, Mbeya, Iringa na Njombe]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Manyara na Arusha]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
24°C
17°C
12:38
12:32
D'SALAAM
33°C
20°C
12:34
12:14
DODOMA
28°C
16°C
12:47
12:29
KIGOMA    
31°C
20°C
01:09
12:55
MBEYA
23°C
07°C
01:00
12:34
MWANZA
28°C
20°C
12:50
12:49
TABORA
30°C
17°C
12:57
12:43
TANGA
31°C
21°C
12:32
12:18
ZANZIBAR
29°C
21°C
12:34
12:14

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa;kutoka Kusini kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa kiasi.

Matazamio kwa siku ya Jumamosi: 27/06/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 25/06/2015.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.