WAZIRI NYALANDU AZINDUA KAMPENI MPYA YA KUWAHAMASISHA WATANZANIA KUTEMBELEA HIFADHI ZA TAIFA JIJINI MWANZA LEO

 Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akiwa amekata utepe kuashiria uzinduzi wa usafiri wa boti (Majini) katika suala zima la... thumbnail 1 summary
 Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akiwa amekata utepe kuashiria uzinduzi wa usafiri wa boti (Majini) katika suala zima la kurahisisha  kuhamasisha kampeni ya Uhamasishaji Watanzania Kutembelea Hifadhi za Taifa,hafla hiyo imefanyika mapema leo asubuhi ndani ya Yatch Club,jijini Mwanza,kulia ni  Mkurugenzi wa Hifadhi za Taifa ,Tanzania (TANAPA) Allan Kijazi 
  Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akiwa amekata utepe kuashiria uzinduzi wa usafiri wa magari (nchi kavu) katika suala zima la kurahisisha  kuhamasisha kampeni ya Uhamasishaji Watanzania Kutembelea Hifadhi za Taifa,hafla hiyo imefanyika mapema leo asubuhi ndani ya Yatch Club,jijini Mwanza
Picha ya pamoja mara baada ya kufanyika kwa kampeni ya Uhamasishaji Watanzania Kutembelea Hifadhi za Taifa,hafla hiyo imefanyika mapema leo asubuhi ndani ya Yatch Club,jijini Mwanza.
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akizungumza mapema leo asubuhi ndani ya Yatch Club wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa kampeni ya Uhamasishaji Watanzania Kutembelea Hifadhi za Taifa,kampeni hiyo imezinduliwa leo jijini Mwanza .
 Mkurugenzi wa Hifadhi za Taifa ,Tanzania (TANAPA) Allan Kijazi akizungumza mapema leo asubuhi ndani ya Yatch Club wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa kampeni ya Uhamasishaji Watanzania Kutembelea Hifadhi za Taifa,kampeni hiyo imezinduliwa jijini Mwanza.

 Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akizungumza mapema leo asubuhi ndani ya Yatch Club wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa kampeni ya Uhamasishaji Watanzania Kutembelea Hifadhi za Taifa,akiwa amezungukwa na baadhi ya Wanafunzi kutoka vyuo mbali mbali ambao watahusika kwa namna moja ama nyingine kushiriki kuhamasisha watu mbalimbali katika suala zima la kutangaza utalii wa ndani.