MVUA KUBWA KUENDELEA KUNYESHA MIKOA SABA

Taarifa Kwa Umma Kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini kuhusu kuendelea kwa vipindi vya MVUA Kubwa katika maeneo ya Dar es Salaam, Tanga,... thumbnail 1 summary

Taarifa Kwa Umma Kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini kuhusu kuendelea kwa vipindi vya MVUA Kubwa katika maeneo ya Dar es Salaam, Tanga, Pwani, Morogoro, Lindi na Mtwara pamoja na Visiwa vya Pemba na Unguja.

Katika hatua nyingine, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Lazaro Mambosasa, amesema mpaka sasa watu saba (7) wamepoteza maisha jijini Dar es Salaam.

"Watatu wamefariki katika Wilaya ya Kinondoni, wengine watatu Ilala na mwili mmoja umekutwa ukielea katika Bonde la Mto Msimbazi kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha jijini. "