Philip Chitaunga Meneja wa Huduma za Utalii (TTB) akijibu swali katika warsha hiyo katikati niMeneja Masoko wa Bodi ya Utalii (TTB) Bw. Geofrey Meena na kushoto ni Sam Kasulwa Ofisa mawasiliano wa (Tourism Confederation of Tanzania)
Philip Chitaunga Meneja wa Huduma za Utalii (TTB) akiwasilisha mada katika warsha hiyo iliyofanyika leo.
Kutoka kushoto Meneja Masoko wa Bodi ya Utalii TTB Bw. Geofrey Meena , Sam Kasulwa Ofisa mawasiliano wa Shirikisho la Utalii Tanzania (Tourism Confederation of Tanzania na Geofrey Tengeneza Meneja Uhusiano wa Bodi ya Utalii TTBwa nne wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya maofiza wa Bodi ya Utalii (TTB) mara baada ya kumalizika kwa warsha hiyo.