Picha: Mapozi ya mastaa wa Filamu Jackline Wolper na Ray walipotembelea Arusha National Park

MASTAA kunako tasnia ya filamu Bongo,Jackline Wolper na Vincent Kigosi’Ray’wametembelea mbuga za wanyama Jijini Arusha huku wakiendelea ku... thumbnail 1 summary
MASTAA kunako tasnia ya filamu Bongo,Jackline Wolper na Vincent Kigosi’Ray’wametembelea mbuga za wanyama Jijini Arusha huku wakiendelea kurekodi filamu yao mpya.
Kupitia account zao za Instragram wamepost picha mbalimbali wakitazama wanyama huku Ray akiandika …Hii Sehemu inaitwa National Parks ipo Arusha. Kuna vivutio vingi sana vya kuifanya Nchi Ye2 Kujitegemea bila Misaada.
…Hapa Kuna Maji ambayo Yanatoka Juu na kuporomoka Chini yani WaterFalls