Mtoto wa tembo auchapa usingizi kwenye hoteli ya kitalii, tembo wakubwa wapiga kambi kumsubiri hadi alipoamka

Wakati mwingine hata wanyamapori hupenda kupumuzika mahala pazuri penye upepo mwanana na mavibwagayose, hahaha, ndo kilichojiri kwenye Logd... thumbnail 1 summary
Wakati mwingine hata wanyamapori hupenda kupumuzika mahala pazuri penye upepo mwanana na mavibwagayose, hahaha, ndo kilichojiri kwenye Logde ya Mfuwe huko Zambia baada ya kundi la tembo kujichanganya kwenye hoteli hiyo na kula pozi kwa muda. 
Sababu kubwa ya kupozi hapo ni mtoto mdogo wa tembo aliyeamua kuuchapa usingizi kwenye lodge hiyo na kuwafanya tembo wenzake wamsubiri hadi atakapoamka. 

Si unajua tena mtoto akilala hatakiwa kuamshwa tena nakumbuka enzi za utoto ukiwa na hamu ya minyesu (fimbo) amsha mtoto aliyelala utaipata fasta. Angalia video hiyo uone mambo yalivyokuwa...