UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 03/11/2013

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA HE... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 03/11/2013.


[Mikoa ya Kagera na Kigoma]:

Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua
 [Mikoa ya Mara, Mwanza, Shinyanga na Katavi]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua
[Mikoa ya Tanga na Morogoro (kaskazini)]:
[Mikoa ya Dar-Es-Salaam na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro  na Manyara]:
[Mikoa ya Morogoro (kusini), Lindi  na Mtwara]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Dodoma,  Singida na Tabora]:
[Mikoa ya Rukwa na Ruvuma]:
[Mikoa ya Iringa na  Mbeya]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
30°C               
17°C               
12:13
12:22
D'SALAAM
32°C           
20°C
11:58
12:15
DODOMA
32°C
19°C
12:13
12:29
KIGOMA   
27°C
19°C
12:38
12:51
MBEYA
32°C
16°C
12:18
12:41
MWANZA
28°C
20°C
12:28
12:35
TABORA
34°C
23°C
12:26
12:39
TANGA
31°C
23°C
12:01
12:14
ZANZIBAR
31°C           
23°C           
11:58
12:15

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini- Mashariki; kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani
y a Kaskazini na kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa pwani ya Kusini.                            

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo hadi makubwa kiasi.  
                           
Matazamio kwa siku ya Jumanne: 05/11/2013: Mabadiliko kidogo                                                                
                                     
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 03/11/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.