Wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma katika Chuo Kikuu cha East China Normal University (ECNU) waitangaza Tanzania

Wageni mbali mbali wakiwa wamefurika kwa wingi kwenye Banda la Wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma katika Chuo Kikuu cha East China No... thumbnail 1 summary
Wageni mbali mbali wakiwa wamefurika kwa wingi kwenye Banda la Wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma katika Chuo Kikuu cha East China Normal University (ECNU) kilichopo mjini Shanghai wakati wa Maonyesho ya wanafunzi mbalimbali wa kigeni Katika Chuo hicho,ambapo hupewa mabanda ili waoneshe vitu asilia na mambo mbalimbali yahusuyo nchi yao kwa ujumla.
Mmoja wanafunzi wa Kitanzania katika Chuo Kikuu cha East China Normal University (ECNU) kilichopo mjini Shanghai akimuonyesha mgeni alietembelea banda hilo picha mbali mbali.
Baadhi ya Wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma katika Chuo Kikuu cha East China Normal University (ECNU) kilichopo mjini Shanghai wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Chanzo: Michuzi blog